
Nafasi Mpya za Kazi za Serikali
Tumepata nafasi zaidi ya 300 za kazi kutoka TAMISEMI na UTUMISHI. Angalia sifa na jinsi ya kutuma maombi.
Soma zaidi
Internship za kulipwa kwa wahitimu wa Afya
Tunawasiliana na vituo mbalimbali vya afya kutoa internship za kulipwa kwa wahitimu wa mwaka wa mwisho. Jiandikishe sasa.
Soma zaidi
Huduma Mpya: Kuandaa Business Plan
Fasta Online sasa inakusaidia kuandaa business plan kwa ajili ya mikopo ya vijana na wanawake. Tunaandaa business plan zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu.
Soma zaidi
MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II) - Posts: 20
Majukumu ya Kazi:
- Kuandika taarifa ya mapato na matumizi
- Kuandika taarifa za maduhuli
- Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati
- Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki
- Kukagua hati za malipo
Sifa za Mwombaji:
- Shahada ya Uhasibu/Biashara AU Stashahada ya juu ya Uhasibu
- Cheti cha CPA(T) au sifa inayolingana kutoka NBAA
- Wahitimu wa Kidato cha Sita
Mshahara: TGS.E